Jifunze Ushairi 1.6

Free Download Jifunze Ushairi 1.6

Description of Jifunze Ushairi

Jifunze Ushairi ni programu kutoka kwa Mwanagenzi Mtafiti (www.mwanagenzi.com). Imeundwa kumsaidia mwanafunzi wa ushairi au mshairi chipukizi anayejifunza kutunga mashairi ya Kiswahili. Imeundwa kwa ufundi wa hali ya juu na inatumia Kiswahili kama lugha ya msingi.

Vidokezo:
– Soma makala mbalimbali kuhusu Ushairi; Dhana, Uainishaji, Uhakiki na mifano ya mashairi.
– Elekezwa kutunga mashairi hatua kwa hatua ukisoma nguzo muhimu katika utunzi wa mashairi.
– Mpangilio aali wa programu unaopendeza.
– Jiburudishe kwa mchezo wa kujibu maswali ya Ushairi.
– Pata Alama zako na majibu ya maswali yote uliyoyajibu.
– Hifadhi makala ili iwe rahisi kuyapata na kuyasoma baadaye.
– Pokea arifa punde tu tunapochapisha makala mapya.
– Badilisha ukubwa wa fonti ili ukufae kusoma unavyopenda.
– Shirikisha rafiki kwa kumtumia baadhi ya maelezo.
– Utasoma makala yote bila kuwa hewani kwa mtandao.

Ni tumaini letu kuwa huduma hii itakupendeza.

Shukran

App Information of Jifunze Ushairi

App Name Jifunze Ushairi
Package Name com.mwanagenzi.jifunze.ushairi
Version 1.6
Rating 4.8 ( 10 )
Size 5.2M
Requirement 4.2 and up
Updated October 5, 2018
Installs 5,000+
Get it on:Get Jifunze Ushairi on Google Play